
Nakupenda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nakupenda - Chimamy
...
honeyyyy mahubbi honeyyy 'Aayouni masitizi ntimmi.
Darlinggg wee nipo mitihaniii la'azizi.
kwapenzi lako ta'aabani, una mapenzi ya valentine mwenye moyo wangu umeshaweka shai.
ona unavo tamba na jidai, yani muda wote unafanya na smile.
nimemsau mbaga shaytani, yule ananifanya mda wote na cry.
Aunipimi kwa mizani, yanimpawote mwendo wako honey!
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa, Nkupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa.
Nakupenda Nakupenda nakupenda saaanaaa.
....... (beats )
Mi kwa mapenzi yako mimi chiizi nmezama mazimaaa, kulikosa penzi lako ntaparalayzi, mwee nimzima.
Sijali kasoro zako mi nakupenda tu hadi naumwa, napenda ivo ulivyo tabasamu lako, na ata ukinuna.
Ukimwaga ugaliii misonto mwaga mboga ntasonga mwengine, sipo tayari kamwe kukupoteza wende kwamwengine..
Ohhh sijaliii mi wala sija rogwa kukupenda wewe... sijaliii na wala sinauoga nikiwa na wewe sababu...
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa... nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
..... (Beats)
Mwengine nimpate waaaapi... Wallahi sikuachi
Shakulaaa mini, shakula kiapooo, Wambea wanana faasi wayazushe sijaaali, mi kwako sijiweeezi
wacha waseme watachoka, nakupeeeenda
nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
(wangu 'Aayouni)
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
(yani kufaa kuzikaaanaaa)
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
(Nakupeeeenda)
Nakupenda nakupenda nakupenda saaanaaa
(I love you)
...(beats)