
Sipo Single ft. Lody Music Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sipo Single ft. Lody Music - Official Gachi
...
MMMH
?
EYOOH THRONE
PENZI LAKO UKINIPA NASAZA NASAZA
NIKIUMWA WEWE NDO HOSPITALI
WE PEKE AKO ME NINAE KUWAZA KUWAZA
NAPENZI LISHAKUWA NG'ARI NG'ARI
NISIPOKUONA SILALI KAMA NIMOKOSA GODORO
LEO SILALI BABY NITALALA TOMORROW PENZI KIBATARI NDANI YA GIZA TOTORO
KIBUYU CHANGU MGANGA BABU NASORO
NA PENZI LETU TAMU YANI HALINA SHIDA
ANAVONICHEZESHA MAKIDA MAKIDA
NADEKEZWA NSHAZOEA KWANGU NI KAWAIDA NI MPENZI LAKINI PIA MWANANGU WA FAIDA
MASELA WANGU EEH
MAJITA WANGU EEH
MIMI SIPO SINGO NAWAPA SALAMU
MASELA WANGU EEH
MAJITA WANGU EEH
NIMEMPATA KUNGWI NA HIZO NI SALAM
..........
HONEY !!
PENZI LINANIZIDIA
LANIZIDIA
SIO TENA CHAPATI
ME NALISHWA VIBAGIA
VIBAGIA
HONEY
NAKUPENDA MARA MIA
MARA MIA
CHUNGA MARAFIKI
HAO NDO MAHARAMIA
MAHARAMIA
NAIONA PEPO INGALI NIKO DUNIANI
DHAMBI ZAKO ZOTE NAZIBEBA MABEGANI
OLOLUFE CHINE BABY WA UBANI
MIMI NIKO NA WEWE
WENGINE WA KAZI GANI
NA PENZI LETU TAMU YANI HALINA SHIDA
ANAVONICHEZESHA MAKIDA MAKIDA
NADEKEZWA NSHAZOEA KWANGU NI KAWAIDA NI MPENZI LAKINI PIA MWANANGU WA FAIDA
MASELA WANGU EEH
MAJITA WANGU EEH
MIMI SIPO SINGO NAWAPA SALAMU
MASELA WANGU EEH
MAJITA WANGU EEH
NIMEMPATA KUNGWI NA HIZO NI SALAM
..........