Nakupenda ft. Belle 9 Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Nakupenda ft. Belle 9 - Kerly D
...
Kajoro
Viem
Wallah aah nayo waza hayawaziki
Me nawaza nikuone nisione, kingine mbele
Maana aaaah moyo wangu ume ukoki
Siwazi hata mengine, only you I feel
Aah ulivyo jaza sura ya mama
Nakicheko cha kitoto
Napata raha kukutazama
Kule Insta ma photo
Nimbali unapo ishi Uganda Kampala
Nitapanda hata bus nije nikuone angalau
Nimbali unapo ishi Uganda Kampala aaah
Nitapanda hata bus nije nikuone angalau
Usione kama nateseka
Mana mana mana
Upendo umenifanya hivi
Maya maya maya
Usione kama na henyeka iyowee eeh
Mana mana mana
Upendo umenifanya hivi
Maya maya maya, nimependa
NAKUPENDA
Uuuh love yes I love you
NAKUPENDA
Aaah ahhh
Anything for you I can do
NAKUPENDA
Me I love you buu aah yes I love you
NAKUPENDA
Aaaagh nimependa
Aaaaaaah
Hata moyo una macho ulicho ona kwako
Wanijue wazazi wako
Itakua nice couple
Baby punguza mapoz yeeah
Hata moyo una
Macho ulikuona wee
Penzi tiba napona baby
Wengine mibaa sukari wee iiih
Aaaagh yeeah
Kuwa nami upate furaha faraja
Walio kufuja wame bwabwaja
Maini kuku vibaga baga sasa
Kuwa nami upate furaha faraja
Walio kufuja wame bwabwaja
Maini kuku vibaga baga sasa
Nipe mavitu nijihisi niko peponi
Navyo kupenda utaizidi microphone
Mambo hadharani kwanini vichochoroni
Baby baby eeeeh
Nimependa
NAKUPENDA
Uuuh love yes I love you
NAKUPENDA
Anything for you I can do
NAKUPENDA
Me I love you buu aah yes I love you
NAKUPENDA
Aaaagh nimependa