![Niwe Sababu ft. Jkrules Mswahili](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/13/60f633f70b334a32b569213b0146f7cd_464_464.jpg)
Niwe Sababu ft. Jkrules Mswahili Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Niwe Sababu ft. Jkrules Mswahili - Kiddybeatz Official
...
I feel Kiddy Made It
Nataka Niwe Sababu ya
kicheko chako
sababu macho yako yanag'aa
sababu umaridadi wako
unadhihirika zaidi
nataka niwe dakitari dakitari
isinibidi kuenda hospitali
kumwuliza dakitari
What's wrong with My Baby
Hujalala usiku huu
Sababu kuu ikiwa ni mimi
Tukikosana Walalama tu
ila ungependa rekebisha na Mimi
Penzi ndo limekuwa kuu
wenzetu hata hawaamini
Wakileta mchezo 'mvungu'
tuwafagie tusiwaamini oooh
mimi nachotaka tu,kwa
penzi letu hili nikanone(none none)
wewe unachotaka boo
sema usisonone(usisonone)
nitakuwepo ukiwa na furaha
nitakuwepo ukiwa chini
'Yo ndo ahadi yangu mimi
kwako wewe pwaguzi wangu
maana
Nataka Niwe Sababu ya
Kicheko Chako
Sababu macho yako yanang'aa
Sababu umaridadi wako
unadhihirika zaidi
Nataka Niwe Dakitari dakitari
isinibidi kuenda hospitali
kumwuliza dakitari
What's wrong with My Baby
Macho Yako Ukinitizama
Yapenya mpaka kina
Cha moyo wangu
Lipsi zetu zikikutana
Nasahau nipo Ulimwenguni
We nipe raha,raha buraha
Mtoto wa watu Nijisahau
nikidhani eti ni utani
ila leo penzi limekula kwangu
uuuh aaah
Na Kwanzaaa
Na kwanzaaa
Kwa kwa kwa kwanza
na unavokatika kati'
katika uki kati'
Hicho kiuno utakivunja
unavonengua miuno
Uki katika kati'
katika unavo kati'
Hichi Kitanda kitavunjika
unavonicharaza miuno
MAMA, MSICHANA
HUYU MWALI, MWANA
NI BALAA
Nataka Niwe Sababu ya
Kicheko chako(chakoo)
Sababu Macho Yako
Yanang'aa
Sababu umaridadi wako
Unadhihirika zaidi (zaidi)
Nataka Niwe Dakitari dakitari
Isinibidi kuenda hospitali
kumwuliza dakitari
What's wrong with My Baby
Unavo go down down down
Unavo go down down down down
Ah ah ah ah( unavo go,unavo go)
Ah ah ah ah ah ah Asiyejua(unavo go down down down)
Unavo go down down down down
unavo go unavo go
unavo go down down down down