![MAMA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/11/a36a4504ab48490b927e9a5d3c507edb_464_464.jpg)
MAMA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(Nakuombeya Mungu akubariki)
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(Wewe ni msingi)
Wewe ni msingi wa familia
(ujari)
Ujasiri wako (wako mama)
tunaupenda (weeeee)
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(wolowolowolooo)
Eh Mama (asante, nakuombeya Mungu akubariki)
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
Safari ya maisha yangu ilianzishwa na wewe mama, Mungu alipo chukuwa maamuzi yaku ni weka tumboni mwako
Mamaaaaa
Mi nikitizama ulivyo teseka kwaku ubeba ujauzito
Kuanzia mwezi wa Kwanza hadi wa Tisa
Nakupenda Mama
Wewe ni msingi wa familia ujasiri wako tunaupenda
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(Mama yangu, nakupenda sana)
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(Úhelelwe Ma'a wane Úhelelwe Ma'a)
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
Hahukuishiya hapo umeonekana mwalimu wa maisha yangu
Leo na milele(lelele lelele)
Umenifundisha kuongea (Mama asante)
Umenifundisha kutembea (Mama asante)
Bila kusahau kuomba nakupenda Mama yangu
(Mama asante)
Mama usikubali, kuzaraulika(eh Mama), kila siku taa yako ita muulika (Mama)
Kila utakacho kifanya kimekubalika(Mama)
Kila mtoto akikuona, anafarijika (Eh Mama)
Mama Mama
Mama unaweza wewe una nguvu
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
Wewe jeshi kubwa Biblia yasema
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(Ohhhhhh)
Eh Mama asante, nakuombeya (Nani kama mama) Mungu akubariki
(Nani kama mama)
Wewe ni msingi
(we mama)
wa familia
(mama Mulasi eh)
ujasiri wako
(Mungu akubariki) tunaupenda
Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(Mama, wewe ni msingi wa familia yetu)
Wewe ni msingi wa familia(tunaupenda mama)
Ujasiri wako(eh Mama) tunaupenda
(Eh Mama) Eh Mama asante, nakuombeya Mungu akubariki
(umenishauri mashauri mema, mama)
Eh Mama asante
(Mama)
Nakuombeya Mungu akubariki
(Akuna kama Mama, Mulasi wewe)
Eh Mama, asante nakuombeya Mungu akubariki
Kuanzia utotoni mwangu, hata leo na milele
Eh Mama, asante nakuombeya Mungu akubariki