I love you Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
Lyrics
Nikama niko peponi mapenzi yamezidi raha nikama niko peponiii.... Mahaba yamezidi jama eeeeeh nampenda naye anajua alooo mkizubaa Nampa Dunia . Ananipenda nami najuu.. mmmh mkizubaa nitapotea kwake nasema
Ahsante kwakunipenda natena popote aendapo ntaenda×2
Oooh may baby
I love you Te amo ×4
Camooo eeeh
Sema nikufiche wapi amanikufiche au kwenye moyo wangu
Nikuite nani au nikuite nani au nikuite kipenzi changu
Mahabu wa huba
Mahaba wa huba
kwake nasema
Ahsante kwakunipenda natena popote aendapo ntaenda×2
Oooh may baby
I love you Te amo ×4
Tucheze kompa wewe eeh eeh eeh mmh