Vipi Kwani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Vipi Kwani - Msami
...
nauliza vipi kwani
(vipi kwanii)
niwape shoo ngangari
(shoo ngangarii)
(×2)
nicheze maenu kidogo msimame
nitikise mabega na chini nchutame
nasema vipi kwani(vipi kwanii)
staili gani,unataka ipi yaani
(ipi yaanii),mtindo gani
nicheze maenu kidogo msimame
(msi msi msimame)
nitikise mabega na chini nchutame
(nchu nchu nchutame)
nnavyodensi huwa napenda,(aah),naweka mikogo,ongeza bezi,walete huku,
waruke makopo(chapa ×2)
yaani densi nnavyoipendaa kama nimerogwa na
madakesi nateketezaa,minawapoteza
nauliza vipi kwani
(vipi kwanii)
niwape shoo ngangari
(shoo ngangarii)
(×2)
machizi boti show me ur freestyle(freestyle),
na mademu wakali weka mizukaa(pasha ×3),
shakitibobo,miksi na gandam style(opagandum style),
naunavyo???navyo go down
(weka utamu ×2,east na west)
aya aya,aya aya
wote twende mbele,
aya aya,aya aya
shuka kidogo,
aya aya,aya aya
tikisa mabega,
aya aya,aya aya
minnavyodensi huwa napendaa,naweka mikogo,
ongeza besi,walete huku ,
waruke makopo(chapa)
yaani densi nnavyoipendaa,
kama nimerogwa,na madakesi
nateketeza ,minawapoteza
nauliza vipi kwani
(vipi kwanii)
niwape shoo ngangari
(shoo ngangarii)
(×2)
nicheze maenu kidogo msimame,nitikise mabega na chini nchutame(once again ×2)
staili gani,nauliza(×3,staili gani, aah nauliza)
gwalagwala,gwalaa(×4)
staili gani,nauliza(×3,staili gani,
aah nauliza)
pakachongoo cheza pakachongoo,(nataka chideo)
pakachongoo cheza pakachongoo,(oo mama chideo)
pakachongoo cheza pakachongoo,(nataka chideo)
pakachongoo cheza pakachongoo,(oo mama chideo)
nicheze maenu kidogo msimamee,
nitikise mabega na chini nchutamee(nchu nchu nchutame).