Simuachi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Simuachi - Whizd
...
Simuachi!
Simuachi !
Simuachi!
Sijazoea
Kupendwa ka hivi!
Sikudhania ipo siku
Ntapendwa ka hivi hivi!
Haya mapenzi yashaniliza!
Nilowapenda waliniumiza
Haya mapenzi yashanitesa
Nilowapenda hawakunipenda
Ila huyu wa sasa (Ananipenda!)
Mi na huyu wa sasa (Tunapendana!)
Yaani huyu wa sasa (Ananikosha)
Huyu wa saaasa!
Na Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Shape lake linaita aah
Linaita kwa sana!
Kifuani saa sita aah
Saa sita ooohmama!
Hana muda wa mafilter!
Uzuri wake unajitosheleza
Level zake hawajafika
Hata wakijikweza aaah!
Afu ametulia ametulia!
Hatangi tangi huku na kule
Sio kwamba ninamsifia namsifia!
Acheni ukweli tu niuseme
Mnaosubiri tuachane mtasubiri
Upendo ndo unakolea
Kakesheni kwa waganga na watabiri
Si penzi huku tunachochea
Nyie mapenzi yashaniliza!
Nilowapenda waliniumiza
Haya mapenzi yashanitesa
Nilowapenda hawakunipenda
Ila huyu wa sasa (Ananipenda!)
Mi na huyu wa sasa (Tunapendana!)
Yaani huyu wa sasa (Ananikosha)
Huyu wa saaasa!
Na Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!
Simuachi!