
HAPPY Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
HAPPY (Shanariha Evans Ft Masauti)
Iyeee Iye Iye
Iyeee Iye Iye
Happy happy
Happy happy
Piga picha leo ni rada kuparty
By show leo staki stressi
Huku zimeshika bora ujilete ndani
Hallo kwani shilingi ngapi
Kuja kama, kama umependeza
We kuja kama mfuko umejibeba
I just wonna dance, just vybing
I just wonna dance, just vybing
Tule hepi leo sherehe
Party after party
Hepi sherehe
Uko wapi toniti
Tule hepi leo sherehe
Party after party
Hepi sherehe
Uko wapi toniti
Happy, happy, happy, happy, happy, happy
Happy, happy, happy, happy, happy, happy
I'm happy staki karaa
Zime nicee party balaa
Nikiwa na furaha huwaga nacheza
Sa mbona unashangaa we simama cheza
Kuja kama, kama umependeza
We kuja kama mfuko imejibeba
I just wonna dance, just vybing
I just wonna dance, just vybing
Tule hepi leo sherehe
Party after party
Hepi sherehe
Uko wapi toniti
Tule hepi leo sherehe
Party after party
Hepi sherehe
Uko wapi toniti