
RAHA Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2024
Lyrics
RAHA - Braybrownkenya
...
mapenzi garama Niko ready Kwa yote garama
penzi lisiwe kama drama tulijenge mama liwe kama mnara
mmmmh you know you know siwezi
bila weeee
njoo utunze moyo wangu mi ni pone kabisa
njooo utunze moyo wangu mi ni pone kabisa
niishi kukumbuka laaakooo penziii
napata RAHA
napata RAHA mwenzako
napata RAHA
napata RAHA mwenzako
napata RAHA
napata RAHA mwenzako
hizi Saka Saka za mzini zisijefanya
ukaondoka moyo wangu ndio utajiri
usije ukanichoooooka
baby mapenzi ni kaa ya wilaya
kweli your the only one I desire
njoo utunze moyo wangu mi ni pone kabisa mi ni pone kabisa niishi kukumbuka
mmmmh njoo utunze moyo wangu mi ni pone kabisa niishi kukumbuka laaakooo penziii
napata RAHA
napata RAHA mwenzako
napata RAHA
napata RAHA mwenzako
napata RAHA
unavo nidekeza
napata RAHA
unavyo nipekenya
napata RAHA mwenzako