INAKUBALIKA ft. watendawili Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
INAKUBALIKA ft. watendawili - Matata
...
"Niache nyash ipite Boss! Kwani me ni nugu?"
Sikosi nguvu babygal,me hukula njugu
Bad to the bone, lazima nikunywe supu
Shake dat ting! Hadi upigwe marufuku
Kaende kaende, kifo cha mende
Unamumunya kama maembe na tende
Game buku! Vitu zetu usiseme
Wacha wabaki wakidhani "kuna venye?"
Peleka juu, peleka chini
Usiogope ku...rarua mini
Zikishika sana,toa ulimi
Zako zikipanda,cheza na mimi
Maodinare tuko area
Cheki venye Doba imetubeba
Tingisha kichwa, toa ngepa
"Ule dem ako Handas amebeba!"
Zitoke, mkono na mabega
Tetemeka kama una malaria
Shingo kando kama umeng'ethia
Jikune ni kama una bacteria
Alafu pause...
Inakubalika×3
Inakubalikax3
Rating ni 5star!
Ndani ya 5star hotel,kwetu ni Gaza
Naroga ka Vybz Kartel, niko na answer
Uko na swali? Naeza tell,
"Bombastic side eye"x2
Nishavuka border,napiga maEthiopia
Ka ni 420,tupate tukichoma
Pigia Pedi
Akuje na keroma
Hizi mamoshi,zinatibu mpaka homa
Madem wanapaka henna na mafoundation
Wanasema, "Right now! Tuma location."
Wanajua, si ndo huwa na formation
Mpesa confirmation leo celebration!
Maodinare tuko area
Cheki venye doba imetubeba
Tingisha kichwa, toa ngepa
"Ule dem ako handas amebeba!"
Zitoke, mkono na mabega
Tetemeka ka una Malaria
Shingo kando kama umeng'ethia
Jikune ni kama una bacteria
Alafu pause...
Inakubalika×3
chi....
Inakubalikax3
Mmmh..
Uko divine baby, "Sa mbona uko juu ya chrome?"
Uko na body fine baby na Asalam eeikum Salam
Ka si ya Crown,
Ah-ah!Kwangu io kitu Haram
Geuka na pause nikishatuma izo salamu
Niko na time na dooh
Za kuwaste kwa maho*
Nikishaget bored... your Bum-Bum!
It's like a ticking bomb !
When you're tiping toes,yeah, I want some more... your Bum-Bum!
Napiga proper, toka morning mpaka jioni
From.... the wall,bedroom,mpaka jikoni
Na nageuka geuka kama chameleon
kama si.....
Maodinare tuko area
Cheki venye Doba imetubeba
Tingisha kichwa, toa ngepa
"Ule dem ako Handas amebeba!"
Zitoke, mkono na mabega
Tetemeka kama una malaria
Shingo kando kama umeng'ethia
Jikune ni kama una bacteria
Alafu pause...
Inakubalika×3
Inakubalikax3