Loading...

Download
  • Genre:Alternative
  • Year of Release:2024

Lyrics

Nime ku search ka employees wa Chandarana

Kichwa imejaa tu ma memories za mwaka jana

Kabla ujiunge na ile kambi ya Owuor

Kabla ununue zile koti za Shaft

Awuor, Awuor, Awuor

Ni wapi nilikosa

Kwani sikukupenda ya kutosha

SGR iko tu hapa

Sema ng'we unione Mtapwa

Baby, weh ndio nataka

Sijui mbona unanikataa

Je, kwani ulipata mwengine

Usiseme ulipata mwengine

Ni ka ulipata mwengine


Sema

Sema una regret

Sema

Sema una ni miss

Sema

Bado unanipenda

Bado tuna ka chance

Sema

Sema una regret

Sema

Sema una ni miss

Sema

Bado unanipenda

Bado tuna ka chance


Najua unataka kuenda maombi

Lakini ni subiri kwanza

Niko Miritini naja

Nieleze kile wadai (kile)

Kwani hujachoka kujifanya hudai (vile)

Vile ulianza kwenda Church wajidai

Ushakua Jesus Christ

Si juzi juzi ulisema una ni like


Sema una regret

Sema

Sema una ni miss

Sema

Bado unanipenda

Bado tuna ka chance

Sema

Sema una regret

Sema

Sema una ni miss

Sema

Bado unanipenda


Nitakusema kwa God

Nitakushtaki kwa Mungu

Nitakusema kwa God

Nitakushtaki kwa Mungu

Hii uchungu naskia si love

Nitakusema kwa God

Nitakushtaki kwa Mungu

Hii uchungu naskia si love

Nitakusema kwa

God


Awuor, Awuor, Awuor

Kwani ulipata mwengi

Mwengine

Usiseme ulipata mwengine

Kwani siku

Kupenda ya

Penda ya

Penda ya

Penda ya kuto to to to

Usiseme ulipata mwengine

Awuor, Awuor, Awuor

Kwani kwani siku

Kupenda ya

Penda ya

Penda ya

Penda ya kuto to to to

(No no no no)

Penda ya

Penda ya

Penda ya kuto to to

Kwa kwani si

Kwani siku

Kupenda ya

Penda ya

Penda ya

Penda ya kuto to to to

Tosha

(No no no no)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status