Loading...

Download
  • Genre:Others
  • Year of Release:2024

Lyrics

Wewe kijana roho safi, ii, ii, ii, ii, Tena kijana mtanashati

Usiwe hivi player, usiwe hivi player, usiwe hivi player, usiwe hivi player

Mpenzi uko wapi jamani, ii, ii, ii, ii Nakutafuta sikupati eei

Simu wa haushiki pia jamani, ii, ii, ii, ii Tusipotezeane wakati


I say my baby Claire, let me tell you this baby loud and clear

Wewe ndio wangu mungu kunijalia, I love you mama mimi ninakuambia

And a good song baby nitakuimbia Tena usiskize wanayo kuambia

Mana wanipendi wana niharibia Mana siyo wote wanao nitakia(katia,takia)


Mana siyo wote wanao nitakia, wanao nitakia

Aki sio wote wanonitakia, eea eea wanonitakia


Player, player, utanicheza wewe

Mi sio player, player, siwezi kucheza wewe

Player, player, utanicheza wewe

Mi sio player, player, siwezi kucheza wewe


Instrumental Break


Je unanipenda mimi, yes nakupenda wewe

Je utaniumiza mimi, siwezi kuumiza baby

Je unanipenda mimi, ukweli nakupenda wewe

Je utaniumiza mimi, siwezi kuumiza baby


Mchezo nachezanga kandanda tu, wengine mi sijui ila wewe boo

Ni kweli nakupenda girl I love you, I love you, girl I love you

Mchezo nachezanga kandanda tu, wengine mi sijui ila wewe boo

Ni kweli nakupenda girl I love you, I love you, girl I love you


Player, player, utanicheza wewe

Mi sio player, player, siwezi kucheza wewe

Player, player, utanicheza wewe

Mi sio player, player, siwezi kucheza wewe

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status