
Nyumbani Mwa Baba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Eeeeh, Eeeeh
Eeeh,
Uuh,
Yeeeh, Yeeh
Eeeh, Mmmh
Ah Nalifurahia, waliponiambia
Twende nyumbani mwa baba
Pahala nimeponea, na wema nimeonea Ah Ah
Mlee nyumbani mwa baba
Nalifurahia ah ah, waliponiambia
Twende nyumbani mwa baba
Pahala nimeponea aah , na wema nimeonea
Mlee nyumbani mwa baba, Yeeeh
Ni mahali pa uponyaji, pamejawa tumaini,
(Twende nyumbani mwa baba),
Hali zabadilikia pale, Hadi kiwango kingine
(Mlee nyumbani mwa baba)
Tangu siku ile, ilojawa giza
Alinijia kristo oh oh oh, rohoni mwangu uh
Mi na yee, Wawili, tukawa wandani, aah
Mimi kwake mwana, naye kwangu Baba ah aah
Nalifurahia ah ah, waliponiambia
Twende nyumbani mwa baba
Pahala nimeponea aah , na wema nimeonea
Mlee nyumbani mwa baba, Yeeeh
Nyumbani mwake Baba tupo salama,
Sina haya kusema Aliniokoa,
Wala wasiwasi, nikihofu wataniona vipi,
Nitaruka nguo zichanike, kama Daudi
Ni mahali pa uponyaji, pamejawa tumaini,
(Twende nyumbani mwa baba),
Hali zabadilikia pale, Hadi kiwango kingine eeh (yeeeh)
(Mlee nyumbani mwa baba)
Ah nalifurahia, waliponiambia
Twende nyumbani mwa baba
Pahala nimeponea, na wema nimeonea Ah Ah
Mlee nyumbani mwa baba
Nalifurahia ah ah, waliponiambia
Twende nyumbani mwa baba
Pahala nimeponea aah , na wema nimeonea
Mlee nyumbani mwa baba, Yeeeh
Ni mahali pa uponyaji, pamejawa tumaini,
(Twende nyumbani mwa baba),
Hali zabadilikia pale, Hadi kiwango kingine
(Mlee nyumbani mwa baba)
Eeeeh, Eeeeh
Eeeh, Uuh,
Yeeeh, Yeeh
Eeeh