
Starehe Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Starehe - JEUSI MC
...
Wororo wororoo Wororo wororoo
Babaaaaaaaaa
Prakachaaa pampoooosh
Aaaah nikiwa Jeusi Mc hapaa
Ohh jamani mke wangu ananikera,
Anapenda starehe
Kurudi asubuhi, ye ndio zake starehe
We We dazen mke wangu ananikera,
Anapenda starehe
Kutwa kwenye mabar, ye ndio zake starehee
Acha ujiingaaaa
We Nimekuoa,
Acha ujiingaaaa
Nimekuweka ndani,
Acha ujiingaaaa
We Nimekuoa,
Acha ujiingaaaa
Nimekuweka ndani
Unarudi asubuhi, na viatu mkononi
Wala aibu huoni,chumba ya pombe mkononi
Umetoka ulongoni? Mbona kama sikusomi
Ukirudi Umelewa, unalala jikoni
Unanivunjiaaa heshimaa,
Unanipakazia mke wangu
Unanivunjiaaa heshimaaa,
Unanipakazia mke wangu
Hauna muda wa kupika,
Kutwa kubandika kuchaaa
Hauna muda wa kupika,
Kutwa kubandika kuchaaa
Ananipa changamoto,akicheza Baikoko
Eti Kuna kiroboto,anapiga gongo la mboto
Unataka Dela mtoko, Kuji snap ndio zako
Peke yako na wenzako,
Wanapenda kudangaaaa
Wanapenda kudangaaaa
Usisikie mapenzi,mapenzi yanaumizaa
Mapenziiiiiiiiiiiiiiiii
Usisikie mapenzi,mapenzi yanautesaa
Ooh Mapenziiiiiiiiiiiiiiiii
Muone baba shadya, ashalia na mapenzi
Na hivi leo mi nalilia mapenzi
Wengine washajinyonga,
sababu ya mapenzi
Mapenzi jamaniiiiii iiiiiiiiiiii
Wengine washajifia,
Eti kisa mapenzi
Mapenzi Kitu gani eeeeeeeh
eeeeeeeh eeeeeeeh eeeeeeeh
Ohh jamani mke wangu ananikera,
Anapenda starehe
Kurudi asubuhi, ye ndio zake starehe
We dazen mke wangu ananikera,
Anapenda starehe
Kutwa kwenye mabar, ye ndio zake starehee
Acha ujiingaaaa
We Nimekuoa,
Acha ujiingaaaa
Nimekuweka ndani,
Acha ujiingaaaa
We Nimekuoa,
Acha ujiingaaaa
Nimekuweka ndani
Ooh Jamani Ukirudi unanikera,
kitandani unatapikia
Weee Kitandaniiii
Ooh jamani Ukirudi unaniboa,
kitandani unakojolea
Weee Kitandaniiiii
Mamaaa
Analala nje,kwa ofa ofa za bia
Anajisahau,kwa ofa ofa za bia
Anakesha bar,kwa ofa ofa za bia
Ananidharau, kwa ofa ofa za bia
kwa ofa ofa za bia,
kwa ofa ofa za bia
kwa ofa ofa za bia
kwa ofa ofa za bia
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nete waliwangashiiii
Aaaah nikiwa Jeusi Mc bwanaaaa