
Mukuchu ft. Slick Ninja Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeah am fresh like that am the slickest ninja I was a Mr nice even before Kidali po,
Ndio maana kaa ni biz hapo ndio pahali niko, niingize fast fast nayo ilete malipo
Mmmh, Mukuchu wallahi nikishaaziwahi kuna vitu nitachange hiyo is not a lie,
Nisort familia na ngisuvia mbai yani mambo vulae niambie shida bye bye, mmh
Lavie da loca ngathi na ngooka,
Mtaa ntakuja nimehang Kwa choppa
Toppa Di toppa wasepe viproper sahiyo najidai juu najua nimejikopa,
Wapeng wapo na wote mali safi
Luku wanjapi wananiita their papii
Bei ntafika we sema ni mangapi, Mwalimu wa maths aseme hapa ni wapi
Sitaichoka ikikam Kwa mboka
Nitaipiga hadi siku ntaomoka
Mmh we Mukuchu Kwa poke
Alafu Jo we wasepe watokeee, watoke
Watokeee
Before I blow, kabla niomoke
Niose nitoke kwa block
Ka unanidai sema sahii
Ka unanidai we sema sahii
Juu mukuchu wallahi nikishaziwahi mmmmh nkishaziwahi
Mukuchu wallahi nikishaziwahi mmmh nkishaziwahi
So style ni deadly deadly (ya kumalo)
Made in Kanairo inawashikia mayolo
Gang ni ya wasepe mzeiya mi siko solo na kaa inakubamba pia unaweza Katufollow
Hii ndio inadonjo, hii ndio inavibe usitie aibu
Burudika nayo sahau masaibu,mmh
Piga Sherehe taratibu we tesa wajiulize vipi wakose majibu
And before I blow yaani kabla niomoke niose kabisa mi nitoke kwa block,
Ka unanidai sema sahii juu nikishaziwahi price itago high
Na hizi kabisa sio sifa za kujidai
Am speaking from my heart yaani motema na ngai
Na nundu yulu kwi Ngai nawapa muziki nenyu sungaiii aiyaaa
Zigi zaga zig zig zag zig ipeleke na mdundo kamatia mpaka chini
Chini kwa chini kwa chini
Zungusha tingisha njoo ucheze na Mimiii
Before I blow kabla niomoke
Niose nitoke kwa block
Ka unanidai sema sahii
Ka unanidai we sema sahii
Juu mukuchu wallahi nkishaziwahi mmmmhh nkishaziwahi
Mukuchu wallahi nkishaziwahi mmmh
Nikishaziwahi
Yeah call 999 tell them I am the bomb
And anytime soon I'll be blowing up boom
Slick ninja wasepe music aiyaaa
Big up big up wasepe clan wasepe gang wasepe nation
Peace out