MR. INNOCENT Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Ah ah nimekosa niachieni
Nimekosa joh najuwa niacheni
Nimekosa I know niacheni
Nimekosa manze joh niacheni
Beiby what's your D.O.B
Awanna do some visanga
Mh sibelieve kwa GOD
Ju sisi wote ni makanga
Kam tucheze kigongi
Ka zile enzi za manyanga
Kidube kilucky
Mziki ni prisoner
Nipeeni stick huyu lazima nicheze nae pool
Scary as fuck buh amazing nikipush anapull
Myoung mchangaa na ana shanga kwa pool
Mhna babu hatumind Azziad tutakuboost
Mjinga ni nani hili fumbo aje alifumbuwe
Mnanyonga mnakaza more niaje tupumue
Namna gani mbona hii bill imegeuka drama
Wajumbe wanakudiss tu wanakutu kana
Mmmmh
Budaa utatii hizi sides mh ndo nabii
Cananabis times three alafu bidii
In short nani ukihandwa pana submit
Usitume na till ka ni doh acha tumeet
Manzee mnajifanya nyi watumwa hamna chapaa
Mnafanya kazi sana rahisi mh nafanya sanaa
Sa mbonaa utake tengaa
Na mh ulinitengaa
Hizi boomas niza wakenya ama mkenya
I remember ni juzi tu mliketi mkawish
Ju ya matatuu adi kwa church mnapreach
Yet uku East ni janga si mcum tubreathe
Naskia priest amehandwa juzi akiibap mkid
Nikispot pesa I swear nitaharibu jina
Sipendi siasa napenda mula ganja na diva
Nataka msupa ana doh ndo niki.order analipa
Sinaga pupa hizi mbio ni za kusaka mita
Acha haraka
Zima man ngoja makarao waleft
Mh ni mkenya sikuelewi bonga vitu zinamake sense
I'm like naah spine acha nature idecide
Naah spine ego itafanya uloose things
Naaah spine just think spine
My outlook is always bad can't lie
So if you wanna stay don't judge
Sometimes things go south
Sometimes
I feel like may I die
Leave the rest to the wild world
Cuz after all nobody cares
I better consider my own f*ckn thoughts
Don't love me ,that's bullish
Si eti nachukia
Ata mh nishaikuwa na malkia
From lucky nikawa prisoner
Nikajutia ....
Where is she where's she
Just askin who's real
Sawa nimeacha weed
But.....stay away from me
Mrembo napenda ni streets
No wonder I'm so rude
Na uko sirudi
I f*cked my CV
Niling'oa number plate nikarusha kwa roady
Ve tu niliona kwa TV
Ata ndo ii CD
Mara ABC
Twende VCT!!!
Ndo wapi mummy
Mh nilifanya IT
I swear I'm not sick
Huku CBD ni bidii
CBC kwa DVD fuck the system
Kina Ruto maDVD
Nobody knows you
So don't let them control you
Hide your CPU
Fuck YCS CU
I SEE YOU
That's the way it's meehn
Painfull thaaaa piga tizzy mehn
Fuck them traumas ongeza bangi mehn
Wee ndo GOD stay in power mehn
Stay in power men
If you think you know me
Nigga I'm sorry
And if you wanna know me
Pesa kwa pochi
She left me a player and
Now I'm a f*ckin coach
Kuna kitu nikikupea
Walai utarudi
Look at me
Ushaiona ii photocopy
Namodel role
Bro look at me
Kusurvive ni morals
Si kujigas na huna ata kazi
Employee of the month
Nasikia kuna fala amecatch
Ju ya vitu tunacatch na
Ndo tunastart
Ni wapi nikae
Industry ni full na bidhaa hazifai
Niache niongee
Wanawafool na ata mfight
ii side tuko loaded
Some real sh*t na mangwai
Muziki tu na hatukai
Kwa mike mh sonko ju ya vitu naspit
Mfukoni usoto na mh ni msanii
Sa mbona usoro nanii na haturelate
Sinaga morio ule nilikuwaga nae ni the late
Of late
Spirits zinanihaunt can't sleep
Kelele
Sauti zinashout kwa sol sisikii
Nimepray
I guess God ni kiziwi
Ju ...
Ata sielewi
If you wanna help
Just help
A friend in crime sai ni cult leader
A friendly game na unakata ladder
What do you expect
Sijui ako wapi,
Place ako hope ako happy
Zile maecho tu ndo katikati
Hunikatizia usingizi
Nafeel zii
I'm happy too
Wee enda tu
There's a time we were two
Ukanisifia mh ni hodari
Sharp sharp maths ukalearn
One by one ukasubtract two
Boom
Ikawa impromptu
Mapenzi from form tu
I'm now 22
Where you
Mh niko tu nililearn
Si ni life
Yooow I'm in love with mary jane
Si ni life
Walonilenga niangalieni
Si ni life
Hivi alotoa mimba nne
Bado ni wife
Uuuunh f*ck faith
My heart is poisonous baby gal
I lost faith
Wish I was pure I mean
Ata purity alinidump ju ya gown
I'm still nump what else
Nipe time
Miaka ka tano ndo labda nitavie
F*ck pinah after kumshow sina bima
Akanifanya mtumwa
Yoow mummy
Mh ni kio ya Jamii niangalie
1st class ndo nini
Mh huwa high daily
Eti spine ni mrui
Ukachoose kucheza away
Kijana ni bangi
Nywele shaggy
Ata hajui ku.entertain
Mh huwa suicidal si kwa maneno pekee
Nitapea njiwa jumbe zako akuletee
I've never laid my head on a pillow
So if you see me go mad songa kando
In the past I used obeyed ego
Adi mekuwa biggie kushinda b4
Vitu zikikataa naachaga ivo
Men gas power sitaki jiko
Sina ukoo
Maybe Dad Mum and Bro
Siezi andikwa wera walai
Heri kamiti
Like life ikiwa tough
Wee andikia script
Chunga usiniboo bule kitaumana
Nilishinda kinyonga walai I'm a true colour
Gigani mapepo zinanikana
Uhuni mhuni ukuni na kitanda
Kidato ni jungle
Nilimadaga form 4
Na alot of scandal
Hii stand ni firm bro niko fisty
Uneza confirm na
Why lie siezi kujudge bro ata uwe mwizi
Fuck the system
I swear mh kuna kaburi sidai kufufua
Ju nikifufua mtakufa
Mtukufu rais mh nna mafua
Mtukutu hajihisi ata akikata kwa jua
THE UNCIVILIZED
Sometimes you gat to get your hands a little bloody for some motherfuckers to understand
No billionaire has a fat wife
Deals zangu zote ni haramu
Natembea na the supreme
What do you expect
Nikiteka msupa ameiva
Mh humtuma kwa duka
Na tisho ya smoker
Sai naeza wacheka nikilia
Ju walai vitu nimepitia
Ata ka wewe ulipitia pia
Mh basi nilionewa
Sitaki mkate nusu
Nitakesha mpaka chee
Mbona ukate nusu
Seti uwache kiende chain
Na mh ukinidiss
Huwezi count mpaka ten
Puh puh
Mh ni mtu insane
I'm innocent
I never needed drugs
Everything I loved destroyed me
I'm sorry