Hauniwachi ️ Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
Lyrics
Wizard
Eiih Cheki ni Mbichi Mbaya Kwenye Mic
Kama hunijui eheeee
It's Lée Baba Baby
Chorus
Na vile nilistruggle kukupata alafu unaniambia "baby sikutaki "
Hauniwachi ️
Hauniwachi ️
Si introduction kwa wazazi Tulifanya
Wakakupenda.... Wanakujua
Mi sikuwachi ️
Mi sikuwachi ️
Verse 1
Jasho nilimwaga nikisimp pale talking stage
Basi mbona ulikubali ....siungekataa
Hiyo time
Mbakaa ukanishow unaona kitambi yangu kama packs unazipenda
Saahii ni matusi ...ati nikona mimba
Mwanaume bila ndevu........Uliapreciate... Saa hii mi ni sufuria mpya
Hauniwachi ️
Hauniwachi ️
Chorus
Na vile nilistruggle kukupata alafu unaniambia "baby sikutaki "
Hauniwachi ️
Hauniwachi ️
Si introduction kwa wazazi Tulifanya
Wakakupenda.... Wanakujua
Mi sikuwachi ️
Mi sikuwachi ️
Chorus
Na vile nilistruggle kukupata alafu unaniambia "baby sikutaki "
Hauniwachi ️
Hauniwachi ️
Si introduction kwa wazazi Tulifanya
Wakakupenda.... Wanakujua
Mi sikuwachi ️
Mi sikuwachi ️
Feed what you eat
Nimekunonesha so unataka kwenda
Kama ni pesa nitaongeza
Kama ni food taja nitakupea
Kama ni lugha... nilijifunza ilibidi ndio ni enhance communication
Mathe yangu hukuita" my daughter"
Anakuheshimu...., anakupenda
Si jinako nilitatoo karibu na my ️ heart
Aki Sophia...
Please Sophia
Sophia ahhh
Chorus
Na vile nilistruggle kukupata alafu unaniambia "baby sikutaki "
Hauniwachi ️
Hauniwachi ️
Si introduction kwa wazazi Tulifanya
Wakakupenda.... Wanakujua
Mi sikuwachi ️
Mi sikuwachi ️
Chorus
Na vile nilistruggle kukupata alafu unaniambia "baby sikutaki "
Hauniwachi ️
Hauniwachi ️
Si introduction kwa wazazi Tulifanya
Wakakupenda.... Wanakujua
Mi sikuwachi ️
Mi sikuwachi ️
Big up to Baba Mbichi Mbaya 001
Mr Boaz Khakali.....
Nakupenda manze
My big bazuu
Wizard
It's Lée Baba Baby