![Wajue Upo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/71/A8/rBEeNFrr8-2AVxnaAADHDSQtN7c662.jpg)
Wajue Upo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Wajue Upo - Bire The Vocalist
...
Eeh bwana niko mbele zako jameni
Tubonge
Eeh bwana kwani uko wapi jameni?
Sikuoni
Mengi ya tendeka maishani mwangu
Nani kama huoni
Napigwa right left and centre
Nawe bado huneni
Eeh bwana kama nimekosa jameni
Nisamehe.
Eeh bwana kama batimayo siondoki
Mpaka tuonane
Ninacho omba unitendee
Nipate ushuhuda mdomoni
Ili na wengine wakuone
Nao wapate kukuamini x2
Nitendee nami pia
Nitendee nami pia
Ili wengine wakiangalia
Wakuone wajue upo.
Wajue upo wajue upo
Wajue upo wajue jpo
Wajue upo wajue upo
Wajue upo wajue upo
Kwenye viti vya sina taabu
Wao hukaa juu
Lakini ndani moyoni wamejawa na taabu
Taabu taabu
(Ndoa zao zimevunjika
uhuru wao kagandamizwa
Mali yao kanyakuliwa) x2 ooh
Wanachoomba uwatendee
Wapate ushuhuda mdomoni
Ilini na wengine wakuone
Nao wapate kukuamini
Watendee na wao pia
Watendee na wao pia
Iliwengine wakiangalia
Wakuone wajue upo
Wajue upo wajue upo
Wajue upo wajue upo
Wajue upo wajue upo
Wajue upo wajue upo