UJE Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Asubuhi isharaah,
babu mashariki nalifumbua jicho lake
bila shari Hewala
uso naelekeza qibla nisiufiche
miale ziangavyo mashallaha
bustani langu limemvutia tausi ndege
mitawi kijani imechipua
maua ainati yenye rangi zake
ndani mnamo kiota nashuku
ameshajenga na anajiishia
maana aimbavyo kasuku
hata wewe utashuhudia
mara ifikapo usiku
nyota nazo zikikuangia.
manthari i.mufaaye mtu
siku zote akafurahiaa
chemi chemi za maji safi
ma vyumba vilopambwa maridadi
himaya malkia yake hitaji
Fanya bala kunitafutia
So whare are you. Uuh. UJE eeeeh
Whare are you uuh Uje eeeh *2
wa ubavu wangu (wa ubavu wangu ) huyu hawa
sijawa Mungu unifaye upweke so sawa
mkubwa nishakua nishafika nisije nikachelewa
alikoo nenda habari fikisha we njiwa.
usimwambie popo si ndege si myama mtini yuwaninginia
Wala bundi atie uoga sura hata sezi kumwangalia
naye hafugiki kunguru ni ndege ambaye hajatulia
kiota changu kinamfaaa mkinda Kila amusifia
kama nikimpata ntaringa (ringa)
vijicho jicho ukuta ntajenga
wanaharamu kwangu sije kuwinda
mara ghafla nije kupata amekwendall
where are you. huwoohh