Regina Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Oh yea yea yaga
Baby ma Regina
Natumai uko fiti mzima
Niko mbali kwa mabonde milima
Illa bado nakupenda mazima
Regina Baby ma
Wewalengi majirani vitina
Penzi letu wanataka kuzima
Jua kwako nimezama mazima
I swear
Nimejaribu kuvumilia
Illa niwewe nafikiria
Nimejaribu kupuuzia
Ila ni wewe
You know that I miss you miss you
You know that I need you need you
If I never see you see you
Mi mwenzenu nakonda
You know that I miss you miss you
You know that I need you need you
If I never see you see you
Mi mwenzenu nakonda
Niko lonely mwenzangu
Ntakuona lini
Ukaniponye mimi Mana baridi inachoma
Niko lonely mwenzangu
Ntakuona lini
Ukaniponye mimi Mana baridi inachoma
Unajua ni pilka pilka Nimeshikika
Illa nitakuja subiri
Oh my baby don't you leave
Ata jua ikitua kwako
Mi siwezi kuchoka bado
Nitazidi kungoja ngoja
Ntasubiri kukuona
You know you give me goody vibes
The only reason why I smile
The only thing that is on my mind
I will forever make you mine
You know that I miss you miss you
You know that I need you need you
If I never see you see you
Mi mwenzenu nakonda
You know that I miss you miss you
You know that I need you need you
If I never see you see you
Mi mwenzenu nakonda
Niko lonely mwenzangu
Ntakuona lini
Ntakuona lini weh
Ukaniponye mimi
Ukaniponye mimi weh
Mana baridi inachoma oh yea
Niko lonely mwenzangu
Ntakuona lini
Ntakuona lini weh
Ukaniponye mimi
Mana baridi inachoma