
Kupendwa Na We Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kupendwa Na We - Watendawili
...
watendawili
Mapenzi yako yanifanya niskie poaa×2
Jogoo ya shamba
akilala mjini usingoje akuamushe
ata shetani alimwambia yesu asiogope aruke
chunga sana wasema kweli duniani wachache
SAMAKI WENGI BAHARINI
HAWAWEZI FANYA NIKUWACHE
MWENZAKO MI NIKAMA WAZIMU
TANGU PENZI LAKO INIPATE
ju
Napenda napenda kupendwa na ww
sioni cha kufanannisha
kama kupendwa na ww
ju napenda napenda aaahhh
kupendwana ww
sioni cha kulinganisha
kama kupendwa na ww
Kufa kupona
ndio utazidi kuwa wangu nambari moja
Hivi pamoja
tujitahidi hadi tuanzishe boma
niinii ulinipa,
ju nashinda, nikiulizwa
mjiinii, kama ndege
wa angani, uliniwinda
future pamoja mpenzi mi na ww nimeshaiona
na usiwe na uoga
ju hii safari jua ni mola ataongoza
Napenda napenda kupendwa na ww
sioni cha kufanannisha
kama kupendwa na ww
napenda napenda aaahh
kupendwa na ww
na sioni cha kulinganisha
kama kupendwa na ww
kupendwa na ww
(aaahhh aaahh aaahhh)
mapenzi yako yanifnya niiskie poa