
KIUNO Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
KIUNO - Komanda X
...
Naogopa usherati naifanya in small amounts
Dem wake akam thru mafeeling zi-arouse
Na ako in her mood kamili ita bouncer na
Zinabounce aliseti na hatoki
Ngoma ni tamu ngoma inapendwa na fans
Ka ni mchango wote wanaleta girls
Ndo tufanye kasomething kidogo
Alisema anatense alijionanga mtoto (ha)
Zero P no tense (tense) unakaza belt
Wengine wakinyoosha cells
Niulegeeze kiuno mbele nyuma right left
(Geeze kiuno mbele nyuma right left)
Tukidate.mami unabreak my bed and not my heart
Juu chini ride kijet to save my heart kuburn
Nayo fence kutense ikararua cladi
Chora saba event tukule mamiradi
Break my bed and not my heart
Juu chini ride kijet to save my heart kuburn
Nayo fence kutense ikararua cladi
Chora saba event tukule
Dance 98 can you do some for meh
Alilegeza akismile akona homeh
Ushai gota abonde kugota back
Sai ako kwa bash vile analegeza back USHERATI
Ndo tufanye ka-something mless
Mashida chini seti kiuno mless
Zungusha zungusha kabisa yes
Zungusha zungusha katika yes
Ngoma ni tamu ngoma inapendwa na fans
Ka ni mchango wote wanaleta girls
Ndo tufanye ka-something kidogo
Alisema ana tense alijionanga mtoto (ha)
Zero P no tense (tense)
Unakaza belt wengine wakinyoosha cells
Niu legeeze kiuno mbele nyuma right left
(Geeze kiuno mbele nyuma right left)
Tukidate mami unabreak my bed and not my heart
Juu chini ride kijet to save my heart kuburn
Nayo fence kutense ikararua cladi
Chora saba event tukule mamiradi
(Seti kiuno mless)
By wrld.of_ibraah{instagram}