Riziki Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:2014
Lyrics
Riziki - Jamnazi Africa
...
Mi ninalo jambo linanisumbua akili
ulimwengu umepasuka mahali
Mungu alipanga usiku saa ya kulala
mbona walimwengu mmebadili mipango
usiku sasa imegeuka mchana
na mchana sasa ni kama usiku
jamani eeeh eeh eeh
mi nashangaa×2
karo za watoto mnatafuta usiku
kodi za nyumba mnatafuta usiku
biashara nyingi mwafanya usiku
chai kwa mũkate sasa nwauza usiku
Maindi Choma sasa nwauza usiku
malimali sasa mwauza usiku
ata maombi nyingi mwafanya usiku
koinange mnatafuta usiku
wake kwa waume shughuli zenu usiku
ata safari nyingi mwafanya usiku
biashara nyingi mwafanya usiku kwa nini eeh eeh eeh
me nashangaa×2