![F.Y.I](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/70/70/rBEeNFrdkLiADcKCAAEOHyJ-Glc159.jpg)
F.Y.I Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
F.Y.I - Stigah
...
nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu(F.Y.I)
napenda guru(F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
WATHIII
adui yangu akanipiga right
nitageuka achape left
siezi anza kung'ang'ana naye nooooh
nimeokoka (F.Y.I)
hata setani akajaribuu
kunifanya kaa alivyo fanya ayubu
siwezi mind siwezi say
Mungu atanikomboa F.Y.I
Nipitie kwenye maji mengi enhe
nipitie kwenye moto mingi mingi
usidhani eti hana copy atanikomboa F.Y.I
nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu(F.Y.I)
napenda nuru(F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu(F.Y.I)
napenda nuru(F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
wathiii
sipendagi kujudge wasee
ati niwe wakwanza kurusa mawe
apanaaa
juu hata mimi siko kamili am a sinner save by grace F.Y.I
dont rejoice now my enemy nikichapi chini usirejoice raise your voice ombea mimi coz mungu ndio remedy ndiye remedy
nitainua jina la baba everywhere bila kuwa shy
noooh
nitangaze wema wake
till the day i die
nimeokoka (F.Y.I)
napenda yesu (F.Y.I)
napenda nuru(F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
Nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu(F.Y.I)
napenda nuru(F.Y.I)
napenda neno (F.Y.I)
wathiii
nikakosa kumusifu mawe zitaanza kubanjuka
imagine mawe zikidance bazokizo
ooh my goodness imagine mawe zikidance zigwembe mawee
au odi dance mashinani
mimi nasema
nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu(F.Y.I)
napenda nuru(F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu(F.Y.I)
napenda nuru(F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
nimeokoka(F.Y.I)
napenda yesu (F.Y.I)
napenda nuru (F.Y.I)
napenda neno(F.Y.I)
F.Y.I inamaanisha
For Your Information
hii ni biggy records denzel on the beat God bless you