
Huyu Hapa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
wololo lo lo lo lo
Aiye eee eee eee
Aaaaaaa
Aaaaaaa
mmh
We jiachie mama nikuonyeshe
Maana halisi ya upendo
Utoke shavu unenepe
Penzii baridi bila scandal
Sina gari, sina nyumba, ila nimejaliwa mahaba
Kwanza ukiwa na njaa, kwa upendo wangu utashiba
We deka mama mi wako nakudekeza
Wakikuita chi mama, waambie mi ndo chi baba
Hauniwashi ii, haunikuni
Penzi la dini, aliendeshwi kihuni
Nimeacha ubachelor, situmii sabuni
Nikiwa na hamu, ananivuta ndani
yo yo yo yo yo
Huyu hapa
Anayenituliza ubongo, huyu hapa aa
Anayefanya sipo single, huyu hapa
Kweli nimepata bingo, huyu hapa aaaaah aaaaaaah aaah
Huyu hapa huyu huyu
Aaah
Ukicheka mama ndo unanichanganya
Na hata ukinuna bado hatari sana
Usimame ukae, uwe mtupu uvae
Yaani vyote balaaa eeh, asalale
Una waka waka, hauzimi kama stima
Sio vibali tu, nitakukatia na bima
Kweli baby tuende wapi, Dubai ama China
Ama tuende Bongo, ukichoka kukaa Kenya
Zigiri zigi zigi zigi, umeniwekea kizizi
Mbona siwazi kazi, kutwa nawaza mapezi
Aiii wewe ee ee
Hauniwashi ii, haunikuni
Penzi la dini, aliendeshwi kihuni
Nimeacha ubachelor, situmii sabuni
Nikiwa na hamu, ananivuta ndani
yo yo yo yo yo oo
Huyu hapa
Anayenituliza ubongo, huyu hapa aa
Anayefanya sipo single, huyu hapa
Kweli nimepata bingo, huyu hapa aaaaah aaaaaaah aaah
Huyu hapa huyu huyu
aaaaaaah aaah aah
Wueeeeh
Unang'ata kucha, mixa mapozi
Ama umelainika na beat ya kiddy
Na beat ya kiddy
Te te teremsha
Te te teremsha
Te te teremsha
Te te
Te te teremsha
Te te teremsha
Te te teremsha
Te te