
County Jail Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
County Jail - KueSti
...
We are in jail harmed
Niggas one over ten Eh!
Hatuna hatia sijui ilikuaje
Tunafubaa day by day kila siku bad day Eh!
Poppin bottles never hatujui champagne Tunamiliki nothing
Mikiki mingi the way Eh!
Tunaishi mipango ya Mungu and them prays
Haina jinsi tunasema ni blesses all
Ipo siku itakua sawa be broken no
Ooh G (GOD)
Hopefully you see me
Maisha nlonayo man naishi mbele sioni
Mi ndo kiongozi uko nyumbani one of four kids
Tupo na mammy daddy kashaendaga heaven Bado nabeleive on the successful
Haiwezi kua haki kwa izi baddest moves
Na hivi nahustle ipo siku itakua true
Vingi vikwazo ila i still going through
Japo hisia mbaya zinajaribu ku ruin
Ndoto zangu i stay core stick on my moves
Nshavuta sana dangerous habits ila i can't be fooled
Nimekua nikitumia my pain as a way to move
Tamaa sjakata mi nangojea
Japo kuna mda nguvu zinapotea
Ningepata ata kachocho nijifiche haki ya Mungu
Maana hakuna jema kila siku ni machungu
Hata njifiche haitapotea
Ni sawa uzime moto kwa kuufokea
Ni bora nishike jembe nikalime kwa machungu
Ili nsife kizembe ata wanangu wapate fungu
Mama told me keep your head up
Maana ata ii zone nilipo rahisi ku adopt
Wanangu they robbin ukiwaona get back
I can't never fault them the hardship of life yea
We are in jail harmed
Niggas one over ten Eh!
Hatuna hatia sijui ilikuaje
Tunafubaa day by day kila siku bad day Eh!
Poppin bottles never hatujui champagne Tunamiliki nothing
Mikiki mingi the way Eh!
Tunaishi mipango ya Mungu and them prays
Haina jinsi tunasema ni blesses all
Ipo siku itakua sawa be broken
We are in jail harmed
Niggas one over ten Eh!
Hatuna hatia sijui ilikuaje
Tunafubaa day by day kila siku bad day Eh!
Poppin bottles never hatujui champagne Tunamiliki nothing
Mikiki mingi the way Eh!
Tunaishi mipango ya Mungu and them prays
Haina jinsi tunasema ni blesses all
Ipo siku itakua sawa be broken no