Ni Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ni Wewe - Walid
...
Open up your eyes baby lemme tell you this
I′ve been waiting for long time to tell you this
You are my everything in life and you've
Been through pain and we′ve survive baby
And everything I do is to make you smile baby
You stole my heart but i don't know how baby
Here I love you na say ni love baby
So you can hear me "follow me, follow me"
Ulio moyoni mwangu ni wewe baby
Raha rohoni mwangu ni wewe baby
Usiku na mchana na wewe baby
Siwezi kuachana na wewe baby
Thamani ya moyo wangu ni wewe baby
Raha ya roho yangu ni wewe baby
Usiku na mchana na wewe baby
Siwezi kuachana na wewe baby
I never am glad baby girl you in my life
Shine to each other lives day you can be bride
Girl smile to the
Can once get hands
Still together coz our love getting tighter
Now am take the slogan 'cause I′ll give you to your tender
And call wedding tonight we go for get that december
In love I surrender
I′m not pretender
Trynna show you the the true meaning of nakupenda
Furaha yangu baby ni wewe
Na raha yangu baby ni wewe
Mpenzi wangu baby ndo wewe
Siwezi kwenda kwa mwengine tena baby
Ulio moyoni mwangu ni wewe baby
Raha rohoni mwangu ni wewe baby
Usiku na mchana na wewe baby
Siwezi kuachana na wewe baby
Thamani ya moyo wangu ni wewe baby
Raha ya roho yangu ni wewe baby
Usiku na mchana na wewe baby
Siwezi kuachana na wewe baby
Furaha moyoni mwangu ni wewe baby
Raha rohoni mwangu ni wewe baby
Usiku na mchana na wewe baby
Siwezi kuachana na wewe baby
Thamani ya moyo wangu ni wewe baby
Raha ya roho yangu ni wewe baby
Usiku na mchana na wewe baby
Siwezi kuachana na wewe baby