![My Baby ft. Chidy_Mc](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/16/6fedcf1662e54f4683801844a47076da_464_464.jpg)
My Baby ft. Chidy_Mc Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Acha nilewe
Dogo chiddy
Oh my baby oh my mama oh
Me siwezi umenikaba koo
Oh my baby oh my mama oh
Me siwezi umenikaba koo
We SI ulisema unanilinda sa mbona unanitesa
SI ulisema utanilinda sa mbona unanitema
SI ulisema utanilinda sa mbonunanitesa
SI ulisema utanilinda sa mbona unanitema
Me namtaka baby mtoto mzuri kweli kweli
Ndani kwenye bed awe fundi very very
Me namtaka baby mtoto mzuri kweli kweli
Ndani kwenye bed awe fundi very very
Ooh .....mama ! honey
Yala we
Oooh ! ah
Oh, my baby oh my mama oh
Me siwezi umenikaba koo
Oh my baby oh my mama oh
Me siwezi umenikaba koo
Ooh toka kitambo pisi Kali nakupenda
Kuna mapanya walokuja wakaenda
Ila we mdada umetokea kunipenda
Jaman Leo Mimi naona maajabu
Demu wangu mwenzenu ananipatabu ee
We SI ulisema unanilinda sa mbona unanitesa
SI ulisema utanilinda sa mbona unanitema
SI ulisema utanilinda sa mbonunanitesa
SI ulisema utanilinda sa mbona unanitema
Me namtaka baby mtoto mzuri kweli kweli
Ndani kwenye bed awe fundi very very
Me namtaka baby mtoto mzuri kweli kweli
Ndani kwenye bed awe fundi very very
Ooh .....mama ! (honey)
Yala we
Oooh niache nilewe (oh niache nipombeke)
Baba Asante wew oh wasionipenda wateseke)
Oh my baby oh my mama oh
Me siwezi umenikaba koo
Oh my baby oh my mama oh
Me siwezi umenikaba koo