Shetani Kaa Nyuma Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
SHETANI KAA NYUMA YANGU
HUTANIWEZA MIMI.
SHETANI KAA NYUMA YANGU,
NAKUSHUSHA CHINI
SHETANI KAA NYUMA YANGU,
NIPISHE NIPITE.
SHETANI KAA NYUMA YANGU HUTONIWEZA KAMWE.
TOKA ZAMANI ULISHINDWA NA MUNGU
YOTE ULISHINDWA SABABU YEYE NI MKUU
ANGALIA MAJARIBU WARUSHIA KWANGU
UKIDHANI NI MAGUMU NA ITAKULA KWANGU
SHETANI KAA NYUMA YANGU
HUTANIWEZA MIMI.
SHETANI KAA NYUMA YANGU,
NAKUSHUSHA CHINI
SHETANI KAA NYUMA YANGU,
NIPISHE NIPITE.
SHETANI KAA NYUMA YANGU HUTONIWEZA KAMWE.
MAISHA YAMEKUENDEA KOMBO
SABABU YA MAFUNDISHO YA UONGO
MADHABAHUNI NI WANAFIKI KWA MUNGU
KINYUME NA NENO LAKE MUNGU.
ANGALIA MAJARIBU WARUSHIA KWANGU
UKIDHANI NI MAGUMU NA ITAKULA KWANGU
SHETANI KAA NYUMA YANGU
HUTANIWEZA MIMI.
SHETANI KAA NYUMA YANGU,
NAKUSHUSHA CHINI
SHETANI KAA NYUMA YANGU,
NIPISHE NIPITE.
SHETANI KAA NYUMA YANGU HUTONIWEZA KAMWE (X2)
--- www.LRCgenerator.com ---