My Prayer (Amani) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Tatizo upo mbali
Wananipiga mawe
Naomba uwe nami
Japo mpaka badae!
Me nachotaka si tupendane
Wao wanataka si tunjunjane tuh
Hawaitaji mapenzi
Wanachotaka ni kuparty
Me na wanangu bas tu pambane
Mara na wao wanikatae lord
Hizo kafara tuzifanye
Pahala pako tusikae baba
Baba wa amani
Unifanyie amani
Baba wa amani
Unifanyie amani
Baba wa amani
Unifanyie amani
Baba wa amani
Unifanyie amani yaweh
Baba wa amani
Uliniita mfalme
Ukanipa power na
Amani
Wanataka nitumikisha
Nao wakina nani!
Ukiwa upande wangu alie juu yangu
Nae ni nani!?
Kwani nanii
Me nachotaka si tupendane
Wao wanataka si tunjunjane tuh!
Hawaitaji mapenzi
Wanachotaka ni kuparty
Me na wanangu bas tu pambane
Mara na wao wanikatae lord
Hizo kafara tuzifanye
Pahala pako tusikae baba
Baba wa amani
Unifanyie amani
Baba wa amani
Unifanyie amani
Baba wa amani
Unifanyie amani
Baba wa amani
Unifanyie amani yaweh