
Aii Wee!! Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimechoka kuskiza mafala wanabonga sana
So nashika pen na paper na anzana na ngoma
Ni kama Mara ya milioni maybe nitaomoka
This time sitamedi Nikiandika na kusonga
Haya, buda nakwambia ni kubaya,
Manzi aliamua hio A ata acquire,
Sina time ya mboka mi ntasomea ulaya
Education is the key
Basi mi Niko na Waya
Aty hii ni shortcut so mamorio wanakata
Kwa club mmejaa mbele nyuma ni mahaga
Mabro wanaendelea kusagisha matoja
Mamanzi waliamua tuwaonyeshe tu mapaja
Aii Wee!! Mimi Niko tired
Siongelei gari hii track iko on fire
Ukiona Moshi jua kameshika mbaya
Kama uradi uliza big stepper Little Maina
Aii Wee siko hizo form
Nimekam kubrowse na siongelei chrome
Aiii Wee sare hizo form
East or West Juja South ndio home
Aii Wee siko hizo form
Nimekam kubrowse na siongelei chrome
Aiii Wee sare hizo form
East or West Juja South ndio home
Wait and see Yani Gravity na maji
Pali nimetoka na naenda bro ni mbali
Rap iko kwa genes we unakladi tu makhaki
Wacha maswali nyingi how I do it cheki nike
Ambia hao Mamorio wasare form za ubarbie
Understanding races unakimbilia nani
Next generation hio ni reason ya umbwakni
Unabonga stima, ebu cheza na hizo lights please
Aii Wee Mimi Niko tired
Siongelei gari hii track iko on fire
Ukiona Moshi jua kameshika mbaya
Kama uradi uliza big stepper Little Maina
Aii Wee siko hizo form
Nimekam kubrowse na siongelei chrome
Aiii Wee sare hizo form
East or West Juja South ndio home
Aii Wee, siko hizo form
Nimekam kubrowse na siongelei chrome
Aiii Wee sare hizo form
East or West Juja South ndio home