Nibariki Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nibariki - Sikha Tz
...
moyo wangu, unapenda vingi moyoo..
Nafsi yangu, inatamani vingi nafsi....
Ah akili yangu, inawaza mbali akili..
Maisha yangu, mi naona kama sifiki
Hustle zangu, zinakwenda mbio
Zina Go..! down
Kila nachofanya kwangu, si sawa
Au shida ndio imegeuka dawa!?
Nafanya jema, Mi nalipwa kwa ubaya!
Sasa kipi?
Nifanye niwe sawa!?
nanana...
chorus
Kwenye shida Nibariki nipone,
Nipate furaha Japo hata tone