Sina kitu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Sina kitu - MigoMigo
...
intro
MigoMigo ey
kurudi nyumbani hua naulizwa vipi nimewai kurudia arafu Sina kitu
nitafurahi vepe hataki baby mama hana family issues
hua naulizwa vep nachukulia poa
hAkati Sina kitu
wanauliza vep nachelewa kurudi
arafu Sina kitu mfukon
mama mtu anataka kidogo
pesa nae haende saloon
mama mtu anataka apete sabuni
losheni wasimlubuni
mama mtu anataka avimbe kitaa
pisi Kali ka mtoni yee
ananitesa ye ndo gear inafanya niende mbioni
maisha yenyew majanga nyumba
ya kupanga mama mtu unataka
kiwanja siwez ruhusu ukadanga
wee ni Bora nishike hata panga
kuliko kuonekana mshamba
nitauza hata banga
Najua unanipenda lakn ujue mwenzako
Sina kitu
Ndo nimeanza maisha bado getho
Sina vitu
vp ntaishi na wewe kipato changu
ishu yee
Sina kitu ......
nimetoka toka toka asubuhi hila Sina kitu
babe mama naomba unielewe
Sina kitu.......... 2
Nilivo fukuzwa kazi nililudi kitaan sikua na pesa
Niliofanya nao michongo wakija maskani
walinicheka
mishe hazieleweki mizozo maskani ikanipa presha
hata kupata mia mia mbili zilikuwa zinanikwepa ahh
Sawa Sina kitu ila sio sina issues
moyoni na mapenzi ya dhat yenye uaminifu
Wana tengeneza bifu
utawapa penz watakutumia watakufuta tishu
maumivu ya mapenz Bora risasi muulize tundu lisu
usiombe uchomwe na mpenz Bora uchomwe kisu
maumivu uvumilivu ula mbivu yaa
Najua unanipenda lakn ujue mwenzako
Sina kitu
Ndo nimeanza maisha bado getho
Sina vitu
je vp ntaishi na wewe kipato issue
Sina kitu ...... nakupenda hila sina kitu
nimetoka toka toka asubuhi hila Sina kitu
babe mama naomba unielewe
Sina kitu..........