Kaa Mbali ft Chino Kidd Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2024
Lyrics
Kaa Mbali ft Chino Kidd - Genevieve (TZ)
...
Eeeeh
Ah chino Wanaman
Salam salam
Salam Salam
Salam Salam
Salam kwa maex
Ndo maana Niko busy
ninaita maverse
Piga maverse
now niko mwepesi
NA Sita sTaki Tena
Nimelipata jeshi
Wenye wivu wajinyonge
Nshajipata nmempata
Toe mane no mniponde
Level zenu za mbeleni
Me daily Bata
Ni hivo tu
Me niko juu
Majuto siku zote
Huwa ni mjukuu
Kwani inawahuu
Hey daididodu
Hey mtajuta sana
Yani Mwanzo Ndo huu
SIMU zenu midomo
Niwape kipaza mnipigie promo
Pigie promo
Penzi lina vidondo
Sita staki Tena nimefika Kokomo
SIMU zenu midomo
Niwape kipaza
Mnipigie promo
Yameisha
Penzi lina vidondo
Sita staki Tena nimefika kikomo
Yameisha
SIMU zenu midomo
Niwape ipaza mnipigie promo
Yameisha
Penzi lina vinono
Sita staki Tena nimefika kikomo
We dear ex
Ulitaka kunizesha
Ngali bado kijana
Now Sina mastress
Ulitaka kunizesha
Ngali bado kijana
Asa
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Ah chino wenaman
eweeeh
Nikisema sana unaona unakufuru
Sema unapenda kama takukuru
Kila soko unachukua ushuru
Unadhani itakuwa je kesi ikifika ikulu
Ila bora uende
Cwezi kuruhusu kuchapwa kizembe
Kila kona vijembe
Maana siku hizi umeota mapembe
SIMU zenu midomo
Ama Niwape kipaza
Mnipigie promo
Yameisha
Penzi lina vinono
Sita staki Tena nimefika kikomo
Yameisha
Dear. X
Ulitaka kunizesha
Ngali bado kijana
We dear x
Ulitaka kunizesha Ngali bado kijana
Now Sina mastress
Ulitaka kunizesha Ngali bado kijana
Asa
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali
Kaa mbali na me
Lyrics by @S7VBL3_916