![Haachi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6F/A2/rBEeMVq-exqAXf3PAACBgpzrCRA230.jpg)
Haachi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Haachi - Malaika (TZ)
...
kama ni penzi nimekuweka kifuani hakuna wakutoa Ndani kama mjengo nikujengee angani ama unahisi haiwezekani kama vitendo nikufanyie chumbani zile kelele haa! haa! tupige tukiwa wawili nakwamini niamini nithamini mpenzi wee! huuh baby I love uu usinifanye craiziihii ila umenibamba nakuganda haaachi haaach tamaa eeeh haach haach rahaa
na mahabaa nayawezaa haki yangu niwe mpole hata ikiwa chini ya meza nasimamia vidole ooh ni coz coz wap umebobea raha zake mi siwezi hata kujizuia haaaa haachi haachi tamaa heee haaachi haachi rahaaa nikilala nalala nae kuamka naamka nae hata ninywe chai nae kwa sasa baadae nimefuata yake nisepeje sina haja na mapepe ananikuna nawashwa na mapele siogop kupiga makelele