
Chukua Usukani (Nakuhitaji Messiah) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Chukua Usukani (Nakuhitaji Messiah) - Eve Nyasha Ngoloma
...
......
Eh bwana wewe ni ngome yangu,
pia mwamba wa wokovu wangu,
nisimamishe juu ya neno lako,
niangazie uso wako.
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
......
naimani we waweza yote,
mipango mema siku zote,
nikiogopa baba nikumbushe,
Mungu hutaniacha nipotee
Mungu hutaniacha niangamie
hutaniacha niaibike
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji bwana, nakuhitaji bwana we,
siwezi bila we chukua usukani,
mikono nainua, sasa nanyenyekea eh
siwezi bila we, chukua usukani,
kufanikiwa kwangu, kunakutegemea we,
siwezi bila we chukua usukani,
kusimama kwa wokovu, kunakutegemea we,
siwezi bila we chukua usukani,
nakuhitaji bwana, nakuhitaji bwana,
siwezi bila we nakuhitaji,
mikono nainua, na magoti ninapiga bwana,
siwezi bila we chukua usukani
kufanikiwa kwangu, kunakutegemea
siwezi bila we chukua usukani,
mi mwana mpotevu, nimepata fahamu,
siwezi bila we chukua usukani
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji messiah nakuhitaji
siwezi bila we, chukua usukani.
nakuhitaji bwana, nakuhitaji bwana
siwezi bila we chukua usukani
mikono nainua magoti ninapiga bwana
siwezi bila we chukua usukani
kufanikiwa kwangu kunakutegemea
siwezi bila we chukua usukani
kusimama kwa wokovu kunakutegemea
siwezi bila we chukua usukani
hata ndoa zetu bwana, zinakutegemea wewe
siwezi bila we chukua usukani
.........