Simba Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2024
Lyrics
Hebu ona alivyopendeza na jezi yake ya simba
Ona oya we hakuna kitu kizuri kama kuvaa jezi ya simba wewe
Eeeh! Ona kajezi kangu kako wapii nataka nivae
Leo simba Ameua mtu nataka ning'ae
Kajezi kangu kako wapii nataka nivae
Leo simba amefanya muaji nataka ning'ae
Hii simba inanipa raha na inanikosha
Na natamani nikatoe ushuhuda kwa mwamposa
Hii simba jamani inanitosha
Na inanifanya nisahau kama baby alinitosa
Ale simba kiboko
Balaa balaa balaa
Simba ni noma
Balaa balaa balaa
Ale simba yamoto
Balaa balaa balaa
Inawachoma
Balaa balaa balaa
Oweeeo oweoooooh!
Oweeeo oweoooooh
Oweeeo oweoooooh
Oweeeo oweoooooh
Wakumfunga simba hakuna
Labda tufungwe na mahakama
Kwanza mnajiongopea
Ata kama mkiungana
Tuna uongozi mzuri
Bugatti si alisaliti chama
Sasa ni mwendo wa makombe
Mabakuli tushapita hizo zama
Mitandaoni kote leo mimi mtanikoma
Nafuta picha zangu hadi za baby mama
Nasema leo mimi mtanikoma
Nikishafuta picha zote nalipost chama
Hii simba inanipa raha na inanikosha
Natamani nikatoe ushuhuda kwa mwamposa
Hii simba jamani inanitosha
Na inanifanya nisahau kama babe alinitosa
Ale simba kiboko
Balaa balaa balaa
Simba ni noma
Balaa balaa balaa
Ale simba yamoto
Inawachoma
Balaa balaa balaa
Oweeeo oweoooooh
Oweeeo oweoooooh
Oweeeo oweoooooh
Oweeeo oweoooooh