
I Move On Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
I Move On - Freshows
...
Baba ahsante
hata kwa uhai navyo solo nitalia
Baba ahsante
japo mambo mengi bado naamin utapambania
i believe in you uh uh uh uh uh uh uhx2
i move onx4
kama angekuwa mwanadamu
anafanya nipate nisingepata
kama angekuwa mwanadamu
anafanya niishi uwenda ningekufa
wewe umeniona nio
umeniona nio
umeniona ahsantex2(kwa vile)
i believe in you uh uh uh uh uh uhx2
i move onx4
naona maokoto (eeh)naona mafanikio(pokea wee)
napokea
(wew unaona nini) x2
I believe in you. .. .. . . .
i move on x4