TUISOLELE Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
King Sounds Music
H-Boys Classic
H
Yo
Dogo P tena
Leä tuinyabe luno lùsùku nilewe
Acha nijigambe mademu potezea
Leo ni shangwe full mapombe
Acha tucheze
Ah
Yeh
Nikilewa zinashuka kwa chini
Yeeeh
Ndo utamu wake, kwanza naomba iyo gini
Yeeeh
We dada mbona kama huniamini
Mimi ndo boss pale
Naomba ukakae chini
Oh yeeh mmh
Bam bam bam bam bam
Leo Nina mood tuenjoy
Come come come com
Usiende mbali Leo ni weekend
Today is weekend (is weekend)
Oh Today is weekend (everybody in my country)
Leo ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy
Leo ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy
Leä tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele (batana munde-e)
Leä tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
(Husmesco lea bitendana)
Wacha tulewe bro
Leo ni changwe full mapombe no (full mapombe no)
Acha tulewe acha tulewe
Msio tumiya mtapata kiwewe
Nisipo leo mniite mbwa niko pale
Nikilewa zaidi najikuta mimi ndo Don
Eeh, mi ndo Don
Nasema Leo ninayo furaha tumekutana
Leo ninayo furaha tuenjoy kwapamoja
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa (it is mine)
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa ( mniache mimi)
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa (nafuraha yangu)
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Today is weekend (is weekend)
Oh Today is weekend (everybody in my country)
Leo ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy (weekend tuenjoy)
Leo ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy
Ni weekend tuenjoy (weekend tuenjoy)
Leä tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele (batana munde-e)
Leä tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
(Husmesco lea bitendana)
Leä tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Leä tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Tuisolele tuisolele
Husmesco lea bitendana
Husmesco the boss
Black Boy Tz
King Davido
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
Nimelewa
It's beautiful H sounds
Husmesco on the beat