Kinanda (Version) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kinanda (Version) - Mesen Selekta
...
VERSE 1. RAYAKO
Yaaah
Mrembo mwenye haiba usoni
Uzuri usio na kifani
Sauti yake ringtone
Haiwezi nitoa mchezoni
Kinanda
Sauti yake minor ikipanda
Kwako nishafika sasa ya nini kudanga?
You my baby looking so wet
Kuishi maisha ya raha ama dhiki it's okay
Excuse me baby can I take you for a date?
Kwako mesaliti amri mateka I can't say aah
(MESEN SELEKTA)
VERSE 2. MESEN SELEKTA
Mesen it's yes again
Aaah aaaah
Nimekuvisha gwanda
Nimekuteka (Wanda)
Unafight kwa love
Palepale washasanda (sandaa)
Nipe mama nipe mama tujenge kiwanda (kiwanda)
Tutoe pombe zote
Hata awali ya kichanga (kichanga)
Mi najua kwamba wana concentrate
Mi Kwako wacha wakunegotiate
Wapo wanangoja sana ili nishake
Lengo lao kubwa nikupenetrate
BRIDGE.
Mmmh uje nikubebe mgongoni
My dear
Tucheze michezo ya utotoni
My dear
Kwa furanda za mapo machoni
My dear
Ooh yeah ×3
I see I see
CHORUS.
KINANDA
Njoo tusauti laiii (KINANDA)
Ya kutoa nyoka pangoni (KINANDA)
Usiombe akiwa ndanii (KINANDA)
Kama ndege mwituni (KINANDA)
Oooh ×4 (KINANDA)
Oooh ×3 (KINANDA)
Whoa whoa ×2 (KINANDA)
Ooh ×3 (KINANDA)
VERSE 3. MESEN SELEKTA
Tupa shuka tupa shuka
Uje kunikanda
Hebu shika panga
Uje ulime shamba
Sing for me sing a song we kinanda
Ukichoka sana jilaze kwenye kitanda
Ulivojinogesha usoni
Umewafunga midomo
Utamu wa lips zako shori
Njoo tushikane mikono ×2
BRIDGE.
Mmmh uje nikubebe mgongoni
My dear
Tucheze michezo ya utotoni
My dear
Kwa furanda za mapo machoni
My dear
Ooh yeah ×3
I see I see
CHORUS.
KINANDA
Njoo tusauti laiii (KINANDA)
Ya kutoa nyoka pangoni (KINANDA)
Usiombe akiwa ndanii (KINANDA)
Kama ndege mwituni (KINANDA)
Oooh ×4 (KINANDA)
Oooh ×3 (KINANDA)
whoa whoa ×2 (KINANDA)
Oooh ×3 (KINANDA)
POST CHORUS.
Unanikosha unavoonyesha cheko (cheko)
Baby basi ongeza hilo cheko (cheko)
Unanikosha unavoonyesha cheko (cheko×5)
Unanikosha unavoonyesha cheko (cheko)
Baby basi ongeza hilo cheko (cheko) ×2
BEAT..................
Unanikosha unavoonyesha cheko (cheko)
Baby basi ongeza hilo cheko (cheko) ×2