Mtoto mzuri Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ninavyohisi
moyo wangu unakwenda mbio
Sio rahisi
japo kwangu ukasema ndio
Moyo wangu nitunzie
Mimi kwako mateka mama
Niwe wako nitulie
niwe wako siku zote mama
Mtoto mzuri gizani
We ndo taa
Ukinijia ndotoni
Wanipa furaha
Mtoto mzuri gizani
We ndo taa
Ukinijia ndotoni
Wanipa furaha
Nakupenda
Msiri wa moyo wangu
Nakupenda
kwa baridi we joto yangu
Ntakuthamini kwa hali
Na mali
Ukiwa mbali nakosa
Usingizi silali
Japo leo sina
Ila kesho itafika
Niombee dua
Mambo itabadilika
Najituma sana
Wakati mwingine nakesha silali
Nakazana sana
Majaliwa ibadilike yetu hali
Mtoto mzuri gizani
We ndo taa
Ukinijia ndotoni
Wanipa furaha
Mtoto mzuri gizani
We ndo taa
Ukinijia ndotoni
Wanipa furaha
Nakupenda
Msiri wa moyo wangu
Nakupenda
Kwa baridi we joto yangu
Ntakuthamini kwa hali
Na mali
Ukiwa mbali nakosa
Usingizi silali