![Uko Nami](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/19/d8c632c6a5ee40778ded63a56ed7dbed_464_464.jpg)
Uko Nami Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Uko nami siku zote
Hata ukamilifu wa dahari
Nitokapo na niingiapo
Uko pamoja nami
Husinzii wala haulali
Uko nami usiku na mchana
Kuna wakati nahisi uko mbali
Ni kama adui wanani zunguka
Aliye mlinzi wa Israeli ndiye mlinzi wangu
Haujawai kuniacha
Hauta niacha kamwe
Usiku na mchana uko nami
Nimekuita umeniitikia, niko mikononi mwako
Siogopi mabaya, sitishwi na adui
Maana wewe uko upande wangu
Hata wanapo nizunguka uko karibu nami
Namimi
Haujawai kuniacha
Hauta niacha kamwe
Usiku na mchana uko nami
Haujawai kuniacha
Hauta niacha kamwe
Usiku na mchana uko nami
Haujawai kuniacha
Haujawai kuniacha
Haujawai kuniacha
Haujawai kuniacha
Yesu rafiki yangu mwema
Haujawai kuniacha
Haujawai kuniacha
Hauta niacha kamwe
Usiku na mchana uko nami
Haujawai kuniacha
Hauta niacha kamwe
Usiku na mchana uko nami