Umenifanya Ibada Ya Sifa (feat. Olper s molel) Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2023
Lyrics
Umenifanya Ibada Ya Sifa (feat. Olper s molel) - Jonas helias
...
instrument
umenifanya ibada ya sifa
nikuabudu bwana
umenifanya ibada ya sifa
nikutukuze mfalme
uuuuu menifanya ibada ya sifa
nikuabudu bwana
umenifanya ibada ya sifa
nikutukuze mfalme
umenifanya bwana.... umenifanya ibada ya sifa
nikuabudu bwana
nikuabudu mfalme.... umenifanya ibada ya sifa
nikutukuze mfalme
Yahweh.....
nikuabudu bwana
nikuabudu mfalme....
Yahweh.....
nikutukuze mfalme
nikutukuze Bwana..
Yahweh.....
nikuabudu bwana
Yahweh.....
nikutukuze mfalme
umenifanya ibada ya sifa
nikuabudu bwana
umenifanya ibada ya sifa
nikutukuze mfalme
instrument
umejivika heshima na adhama
wewe ni mfalme (wewe ni mfalme)
utukufu na heshima
vina wewe Bwana (vina wewe Bwana)
umejivika heshima na adhama
wewe ni mfalme (Wewe ni mfalme)
utukufu na heshima
vina wewe Bwana
(umejivikaaa) umejivika (heshima na adhama) heshima (wewe ni mfalme )
twakwabudu (twakwabudu pekeako)
twakwabudu (twakuinua mfalme )
umejivikaaa (hakuna kama wewe yesu)
heshima (twakuinua)
wastahili (wastahili)
wastahiliii...
hallelujah wewe ni Mungu wetu hakuna kama wewe Bwana unastahili sifa....
wastahiliii yesu (wastahiliii)
milele na milele ndiwe Bwana yesu(wastahilii)
hakuna wakufanana na wewe (Bwaaana)
maana pekeako mfalme wawafalme yesu
uuhuuhuu oooh ouhooh..
yesu Wewe Bwana.
instrument
wastahiliii
wastahiliii
wastahiliii
Bwaaana...
wastahiliii
wastahiliii
wastahiliii
Bwaaana......