![Mapeng(TikTok divas) ft. Gody Tennor, Soundkraft & Tipsy Gee](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/15/95510602cb364acd9af4b3ba3c051d16_464_464.jpg)
Mapeng(TikTok divas) ft. Gody Tennor, Soundkraft & Tipsy Gee Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapeng(TikTok divas) ft. Gody Tennor, Soundkraft & Tipsy Gee - EBOLA MKUU
...
sikuforce unipende utanskizia ukipenda but vile kunaenda itabidi utabaki umenipenda(man a tipysee)
mneti Kuna kwela peng kwela huwezi rate
kwela ukirate mpige ten over ten
makwela mapeng kwela huwezi date kwela ukidate lazma huringie gang
makwela wameivaa the tik tok divas cute face pia reverse lazima utaitishaa aii makwela wameivaa(kwela huwezi jam ata akikula fare) the eastern divas cute face pia reverse lazima utaitishaa(like a boss)
double tap kwako ntaendea ako kapeng vile kamepiga turn umecheki ni ka ten ati black chocolate ama white vanilla me wote namezea mate tukitoko diva aki cjui ni nini walikosea nini luku juu vile wao huipiga wakiogezea mafilter na ring light kwisha chenye wamebakisha ni tipsy kwenye picha slide for the D to the M what a beauty si unaeza niita beast wako baby what a cutee I wanna be your bestie nilikucheki gram nikapenda nikakutext me nadai ukam then hucum ndio nikam
mneti Kuna kwela peng kwela huwezi rate
kwela ukirate mpige ten over ten
makwela mapeng kwela huwezi date kwela ukidate lazma huringie gang
makwela wameivaa the tik tok divas cute face pia reverse lazima utaitishaa aii makwela wameivaa(kwela huwezi jam ata akikula fare) the eastern divas cute face pia reverse lazima utaitishaa.
yoo(aloo) me nadai nisuke nasieku itabidi Chali yako ajuwe huyu peng ni wetu kama Simba na ka wema sepetu me nataka kapoa kakuflows huku kwetu nadai kendy huyu msupa crazy kadem kamevai na Kako na njegi tuteke hao madiva twende Kwa BNB alafu tutashare tu juu wako wengi Hawa wasupa ni ka watanimaliza juu vile me hushinda nimesimp huko insta Tamara macho tu zinaniita kawera huanga keki na kamenimaliza
mneti Kuna kwela peng kwela huwezi rate
kwela ukirate mpige ten over ten
makwela mapeng kwela huwezi date kwela ukidate lazma huringie gang
makwela wameivaa the tik tok divas cute face pia reverse lazima utaitishaa aii makwela wameivaa(kwela huwezi jam ata akikula fare) the eastern divas cute face pia reverse lazima utaitishaa
cheki azziad nasenya gathoni na wema Nikita kering' wakikupea utalenga Emmy emeliana figa Iko ndani we ni wa akina Rihanna alamaamudi wake hushikananga na amber wamenisundia kamotee aki makwela wakamba me sijali ati oh kitaniramba ka kwela ni peng me nakafungia kamba list Jo ni kwako ka Kuna peng sijataja ukilala bafu chafu unakuliwanga Natasha nitaje my crush mkisema ng'we next track namtaja
mneti Kuna kwela peng kwela huwezi rate
kwela ukirate mpige ten over ten
makwela mapeng kwela huwezi date kwela ukidate lazma huringie gang
makwela wameivaa the tik tok divas cute face pia reverse lazima utaitishaa aii makwela wameivaa(kwela huwezi jam ata akikula fare) the eastern divas cute face pia reverse lazima utaitishaa
lyrics by ig@ French_bwoy