Kachu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Hapooo
Mtoto fatu
I like you
You're the only one no 1 2
Tukutane zetu saa 3
Tukapige moja mbili tatu
R.I.P Nigga Chatu
Tunaishi however we want to
Si ni kwetu, au kwa watu?
Si wenyewe fyatu
Na ungenikoma
Nikilipuka ni zaidi ya transformer
Asubuhi tuna amkia dona
Sio Tanasha so i'm sure ushanisoma
Yeah yeah yeah
Ungenikoma
Nikilipuka ni zaidi ya transformer
Asubuhi tuna amkia Dona
Sio Tanasha so i'm sure ushaniso so
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Nishatepeta
Ukiondoka tu roho inatweta
Leta shobo ule ngeta
Aaaah It's G3TTA
Nishatepeta
Ukiondoka tu roho inatweta
Leta shobo ule ngeta
Aaaah It's G3TTA
Oh yeah i like you
Tena that's true
Nataka nile tena nile times 2
We sema tu su
Nikupeleke juu
And as a man
Imma do what imma do
Oh yeah i like you
Tena that's true
Nataka nile tena nile times 2
We sema tu su
Nikupeleke juu
And as a man
Imma do what imma do
Hatutumii nguvu vu
Tunazama Kwa uvungu gu
Haina kuzingu ngu
Haina kuzingu ngu
Aaah i swear
kante
kanteka
Aka katoto ni katundu i swear
Kana makeke
Leo ni mpka chwe
Haina mang'we
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Oh yeah I like you
I do
Ukiniachia narukia nazamia like
Kachu
Kachu kachu
Kachu
Nishatepeta
Ukiondoka tu roho inatweta
Leta shobo ule ngeta
Aaaah It's G3TTA
Nishatepeta
Ukiondoka tu roho inatweta
Leta shobo ule ngeta
Aaaah It's G3TTA