Kitambi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikikuona Navutiwa Na Vingi,
Una thamani kwangu Kuliko Shilingi,
Sura Shepu Yako Nyama Ni Nyingi,
Mungu Kaumba Kaupiga Mwingi,
We Ni Natural Hupendi Kujipodoa,
Nimezama Kwako Nani Atanitoa,
Mungu Kakupa Guuu Yallah Kakukomoa,
ila Nachopenda Kwako Babee....
Hiko Kitambi....
Nimekipenda Kitambi,
Nime Ki-Lavu Kitambi...
Babe Hiko Kitambiii...
Nimekipenda Kitambiiiiiii...
(instruments)
Lolololo Lololololo....
Lolololololo
(instruments)
Somoeeeeeeeeeee
Sura Ndefu Kama Mnyarwanda,
Ulivo jasiri Utasema Wakanda,
Napenda Ukishiba Kitambi Kinapanda,
Ma Gym Masta Wote Wamesanda...
Kitambi Chako Babyy Hakijakaa Vibaya,
Wanaokiponda Wakome Wana hizaya,
Kila Nguo inakukaa babyy wa Moto Fayaa,
Usiwe na Kitambi Kwani we Muimba Kwayaa...
We ni Natural Hupendi Kujipodoaaa,
Nimezama Kwako Nani Atanitoa,
Mungu Kakupa Guu Yallah Kakukomoa,
ila Nachopenda Kwako Babe
Hiko Kitambiiiii....
Nimekipenda Kitambiii,
Nimeki-Lavu Kitambi,
Baby Hiko Kitambiii,
Nimekipenda Kitambiii
(instruments)
Tuseme Pisi Kali Nyingi mjini,
Wana vitambiiiii
Ma sponsor na Wababa,
Wana vitambiiii
Cocx na mwanangu raneshiii,
Wana vitambiiii
Made na Mitindo Khan,
Wana vitambiiiii
Paulo na Mjomba Emma,
Wana vitambiiiii
Mwijaku na Baba Levo
Wana vitambiiiii
Professor chado na Sugarboi
Wana vitambiiiii
aaaah huo uongo sasa!!!!