(Twenzetu) Kijijini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
TWENZETU KIJIJINI Lyric
INTRO
Tumejipataaa tarariraaa
Yeah
Tumetoka town
tumekuja Kula Raha...
VERSE
Tuko town tukihustle kaa wafungwa tuko sero
Tukizichanga mdogo mdogo tukiziunganisha jero
Hatutupi misosi tukipasha ni kiporo
Nazo siku sikusonga tuki hope for tomorrow
Maisha ni ngumu, jua Kali
kaza na dumu japo si Hali
Pata wazimu, miliki Mali, eeh amen
Asante Bibi Kwa kusali....
Hapa town ni ma too much swagga
Ukimuona shirima huwezi dhani kaa nimchaga
Ni hela imetulevya kama laga
Narudi kijijini Kwa babu pia kumenoga
CHORUS
Let's go ...twenzetu kijijini
Kule Kwa bibi kwa Babu wajomba shangazi wanasubiri
Let's go (let's go)... Twenzetu kijijini
Mida ng'ombe, na mbuzi, na mbege na ndizi na family
Tumejipataaa tarariraaa
Tumetoka town tumekuja Kula Raha...
Tumejipata .. tarariraaa tumetoka taoo tumekuja Kula Raha...
Tumejipataaa tarariraaa
Tumetoka town tumekuja Kula Raha...
VERSE
Kombe la mbege weka juu gongesha cheers
Pandisha mlege kata wenge usiwe serious
Usiwe lege le ge, usiwe teke teke
Kaza hatua Una move usiwe ndembe ndembe
Ngisungi na ma vibe za ki culture
Kuku za kienyeji na wazungu ni adventure
Hewa ni Safi na enjoy nature
I free ma mind to get lecture
Mambo ni waa mambo ni shangwe
Yaani furaha mambo ni pambe
Haina karaha story za mange
Mara moja moja ndo kuna case za bange
Nachuma baraka upendo umoja
Nakula magimbi mlenda uyoga
Nafunzwa ujasiri hakunaga uoga
Nikirudi yaani ni tobo moja Kwa moja
CHORUS
Let's go ...twenzetu kijijini
Kule Kwa bibi kwa Babu wajomba shangazi wanasubiri
Let's go (let's go)... Twenzetu kijijini
Mida ng'ombe, na mbuzi, na mbege na ndizi na family
Tumejipataaa tarariraaa
Tumetoka town tumekuja Kula Raha...
Tumejipata .. tarariraaa tumetoka taoo tumekuja Kula Raha...
Tumejipataaa tarariraaa
Tumetoka town tumekuja Kula Raha...
OUTRO
Adam Mchomvu (Hook)
THE END
(c)2023 Adam Mchomvu.All Rights Reserved.