Nitamwambia Nani Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Byson Barlow -Nitamwambia nani? lyrics
«Introduction»
Tmajor!!!
Bashabraaaaa!!!
«VERSE 01»
Mwenzako sijui kutenda ,
Nimeumbiwa kupenda,
Ndiyo mana Kila siku naumizwa…mmh!
Wanakuja Na kuenda mbio mbali za
difenda,
mwisho wakaja niacha
kwenye Gizaa!!
Iwee baridi au joto penzi la moto!!
Nivuruge vuruge nimechanganyikiwaa!!
Aya mapenzi ya kitotooo!
Wee kulwa mi ndio Doto
Niuwe niuwe mie nibaki mifupa!!
«Hook»
«USIJE SEMA SIJA KWAMBIA KUAMBIA KUAMBIAAA «
**I LOVE YOU WEEEEE EEEH **
«USIJE SEMA SIJA KWAMBIA KUAMBIA KUAMBIAAA «
**I LOVE YOU WEEEEE EEEH **
«NITAMWAMBIA NANI??»
Mmhh Aaah mmh aaaah mmh aaah!!
«NITAMWAMBIA NANI??»
Mmhh Aaah mmh aaaah mmh aaah!!
«NITAMWAMBIA NANI??»
«OUTO»
Kwako sina hiyo Jeuriiii,Aaah aaahaa!
Unipeleke Iyo Dhohariii,aaah eiyeeeh
«Hook»
«USIJE SEMA SIJA KWAMBIA KUAMBIA KUAMBIAAA «
**I LOVE YOU WEEEEE EEEH **
«USIJE SEMA SIJA KWAMBIA KUAMBIA KUAMBIAAA «
**I LOVE YOU WEEEEE EEEH **
«NITAMWAMBIA NANI??»
Mmhh Aaah mmh aaaah mmh aaah!!
«NITAMWAMBIA NANI??»
Mmhh Aaah mmh aaaah mmh aaah!!
«NITAMWAMBIA NANI??»