Kabila Letu ft. Godzilla, Mwasiti & Atan Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Kabila Letu ft. Godzilla, Mwasiti & Atan - Wakazi
...
Ah Yeah……murder murder Party on this one (Uuh ) The Call me Zizi You know
Lemme vibe with You
I don’t know Rappers
Truth or death Life inaniambia don’t go anywhere this is not fair kwanini Life
Imemchukua mapema magwair
Vitu vina-stuck kwenye brain nashindwa explain
Najiuliza kwanini langa aliingia kwenye Cocain….. old school rappers nawapenda
Kama brothers lakini wao don’t love each other
Hawapendani Kama mti na branch
Wakipiga picha pamoja uwaga inakua public stunt